Swali: Kushikamana na Adhkaar kunamkinga mtu na maradhi?
Jibu: Hakuna shaka yoyote ya hilo. Ya kwamba kushikamana na uradi wa Kishari´ah, Allaah Humkinga kwao Muislamu kwa kila anachokichukia; maradhi, mabaya, Mashaytwaan na yasiyokuwa hayo. Ni kinga ya Muislamu.
- Muhusika: Imaam Swalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=gKIS9sGWn0Y
- Imechapishwa: 01/04/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket