- Tarjama: Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Kujichelewesha kuhudhuria msikitini siku ya ijumaa
Swali: Je, anayechelewa kuhudhuria Msikitini na kusikiliza Khutbah anapata dhambi? Jibu: Amepitwa na ujira. Hii ni khasara kubwa. Kupitwa na ujira ni khasara kubwa. Lau atakusudia kuchelewa, basi atakuwa ni mwenye kwenda kinyume na Kauli ya Allaah: فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ “Kimbilieni kwenye ukumbusho wa Allaah.” (62:09)
In "Swalah ya ijumaa na mengineyo yanayohusiana na ijumaa"