Swali: Kuna kijana anasumbuliwa na wasiwasi katika Basmalah, wudhuu´, twahara, wakati wa kujisafisha na maji kwa kukidhi haja na wakati wa kuswali. Ni ipi dawa kwa sababu analeta Takbiyr katika swalah na huku anajiambia kuwa hajaleta Takbiyr na anahisi kuwa upepo umemtoka?
Jibu: Apuuze wasiwasi na kuutupilia mbali na kuachana nao, endelee na swalah, ´ibaadah zake na twahara yake. Hana juu yake kitu. Akihisi wasiwasi aombe kinga kwa Allaah kutokana na shaytwaan na apuuze haya na huku aendelee na kitendo chake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14005
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Kuna kijana anasumbuliwa na wasiwasi katika Basmalah, wudhuu´, twahara, wakati wa kujisafisha na maji kwa kukidhi haja na wakati wa kuswali. Ni ipi dawa kwa sababu analeta Takbiyr katika swalah na huku anajiambia kuwa hajaleta Takbiyr na anahisi kuwa upepo umemtoka?
Jibu: Apuuze wasiwasi na kuutupilia mbali na kuachana nao, endelee na swalah, ´ibaadah zake na twahara yake. Hana juu yake kitu. Akihisi wasiwasi aombe kinga kwa Allaah kutokana na shaytwaan na apuuze haya na huku aendelee na kitendo chake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14005
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/dawa-ya-mwenye-wasiwasi-katika-ibaadah-zake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)