Darsa zilizorekodiwa hazitoshi

Swali: Ikishindikana kusoma chini ya wanazuoni, itatosha kusikiliza darsa zao zilizorekodiwa?

Jibu: Haitoshi, lakini mtu afaidike nazo na azisikilize. Hata hivyo haitoshi yeye kuwa mwanafunzi wao na kutafuta elimu kwazo. Ni lazima awe na mwalimu. Ni lazima ahudhurie kwa mwalimu. Kanda hazitoshi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=ZqVBVL2SRb4
  • Imechapishwa: 05/03/2022