Daraja za Pepo ni sawa na Aayah za Qur-aan?

Swali: Je, kumethibiti Hadiyth juu ya kwamba daraja za Pepo ni sawa na Aayah zilizoko kwenye Qur-aan?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi kuhusu hilo. Sijui Hadiyth yoyote juu ya hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020