Swali 175: Mjamzito akiona damu kabla ya kuzaa kwa siku moja au mbili – je, aache kufunga na kuswali kwa ajili yake au afanye nini?
Jibu: Mjamzito akiona damu kabla ya kuzaaa kwa siku moja au mbili na damu hiyo ikaambatana na kuhisi uchungu, basi hiyo ni damu ya uzazi. Basi kwa ajili yake aache kuswali na kufunga. Ikiwa haitoambatana na uchungu basi hiyo ni damu fasidi. Haizingatiwa na wala haitomzuia kutokamana na kufunga na kuswali.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 71
- Imechapishwa: 05/10/2019
Swali 175: Mjamzito akiona damu kabla ya kuzaa kwa siku moja au mbili – je, aache kufunga na kuswali kwa ajili yake au afanye nini?
Jibu: Mjamzito akiona damu kabla ya kuzaaa kwa siku moja au mbili na damu hiyo ikaambatana na kuhisi uchungu, basi hiyo ni damu ya uzazi. Basi kwa ajili yake aache kuswali na kufunga. Ikiwa haitoambatana na uchungu basi hiyo ni damu fasidi. Haizingatiwa na wala haitomzuia kutokamana na kufunga na kuswali.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 71
Imechapishwa: 05/10/2019
https://firqatunnajia.com/damu-inayotoka-siku-mbili-au-moja-kabla-ya-kuzaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)