Dalili ya kwamba ni lazima soksi zifunike mguu ili ifae kupangusa juu yake

Swali: Dalili ya kwamba ni lazima soksi zifunike na awe ni mkazi?

Jibu: Dhahiri ni ueneaji wa dalili juu ya soksi za ngozi na soksi za kawaida ni kwamba zinalinda miguu na kumfanyia urahisi mja. Kwa hivyo soksi nyembamba hazifikii malengo haya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24738/ما-دليل-وجوب-ستر-الخفين-للقدم-للمسح-عليهما
  • Imechapishwa: 05/12/2024