Daima du´aa moja siku ya ijumaa

Swali 167: Vipi kujilazimisha na du´aa maalum katika Khutbah ya ijumaa?

Jibu: Hapana vibaya. Hakika Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwaombea waumini wa kiume na waumini wa kike.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 73
  • Imechapishwa: 03/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´