Swali: Waliopetuka katika kumpenda ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) wanaitwa Shiy´ah au Raafidhwah?
Jibu: Kupetuka mipaka hakujuzu, sawa kwa kumpenda ´Aliy wala mwingine. Upetukaji mipaka haujuzu. Linalotakikana ni ukati na kati baina ya uchupaji mipaka na uchujaji. Wenye kusema kuwa ´Aliy ndiye anastahiki uongozi na kwamba yeye ndiye aliyeacha anausia baada ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), hawa ndio Shiy´ah. Wenye kuitwa Raafidhwah ni Ja´fariyyah. Wanaitwa Raafidhwah kwa kuwa walimkataa Zayd bin ´Aliy wakati walipomuuliza kuhusu Abu Bakr na ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) na akawa amewasifu na kuwatapa. Hivyo wakawa wamesema:
“Tunakukataa.”
Hapo ndipo waliitwa Raafidhwah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_12.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Swali: Waliopetuka katika kumpenda ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) wanaitwa Shiy´ah au Raafidhwah?
Jibu: Kupetuka mipaka hakujuzu, sawa kwa kumpenda ´Aliy wala mwingine. Upetukaji mipaka haujuzu. Linalotakikana ni ukati na kati baina ya uchupaji mipaka na uchujaji. Wenye kusema kuwa ´Aliy ndiye anastahiki uongozi na kwamba yeye ndiye aliyeacha anausia baada ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), hawa ndio Shiy´ah. Wenye kuitwa Raafidhwah ni Ja´fariyyah. Wanaitwa Raafidhwah kwa kuwa walimkataa Zayd bin ´Aliy wakati walipomuuliza kuhusu Abu Bakr na ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) na akawa amewasifu na kuwatapa. Hivyo wakawa wamesema:
“Tunakukataa.”
Hapo ndipo waliitwa Raafidhwah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_12.mp3
Imechapishwa: 15/06/2015
https://firqatunnajia.com/chimbuko-la-jina-raafidhwah-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)