Muftiy wa Saudi Arabia Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh amebainisha hukumu ya kufanya chanjo ya uviko wakati wa swawm. Amethibitisha kwamba inafaa kufanya chanjo ya uviko kipindi cha mchana cha funga, kwa chanjo haizingatiwi kuwa ni kula wala kunywa na hivyo ina hukumu moja kama sindano ya kwenye mishipa.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.albayan.ae/covid19/2021-01-28-1.4077436
- Imechapishwa: 12/05/2021
Muftiy wa Saudi Arabia Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh amebainisha hukumu ya kufanya chanjo ya uviko wakati wa swawm. Amethibitisha kwamba inafaa kufanya chanjo ya uviko kipindi cha mchana cha funga, kwa chanjo haizingatiwi kuwa ni kula wala kunywa na hivyo ina hukumu moja kama sindano ya kwenye mishipa.
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.albayan.ae/covid19/2021-01-28-1.4077436
Imechapishwa: 12/05/2021
https://firqatunnajia.com/chanjo-ya-uviko-kipindi-cha-swawm/