Swali: Ni kipi kinachotangulizwa inapokuja katika suala la kutoa kafara kwa nguo au chakula kumpa masikini? Kwa sababu nguo inaweza kuwa na bei zaidi kuliko chakula cha kuwalisha watu kumi.
Jibu: Mtu ana khiyari. Allaah amempa khiyari kati ya mambo mawili. Akichagua moja kati ya hayo mawili, inatosha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)