453 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu aliyesema kwamba kufanya ´Umrah katika Dhul-Qa’dah ndio bora zaidi, kwa sababu Allaah alimchagulia Mtume wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) hivo?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Umrah ndani ya Ramadhaan ni sawa na kuhiji pamoja nami.”
Kuhusu kufanya kwake ´Umrah katika Dhul-Qa’dah kunatokana na sababu zilizompelekea kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 160
- Imechapishwa: 25/09/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
453 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu aliyesema kwamba kufanya ´Umrah katika Dhul-Qa’dah ndio bora zaidi, kwa sababu Allaah alimchagulia Mtume wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) hivo?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Umrah ndani ya Ramadhaan ni sawa na kuhiji pamoja nami.”
Kuhusu kufanya kwake ´Umrah katika Dhul-Qa’dah kunatokana na sababu zilizompelekea kufanya hivo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 160
Imechapishwa: 25/09/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/bora-umrah-katika-ramadhaan-au-dhul-qadah/