Swali: Ni lipi bora kwa mwanamke kuswali swalah za faradhi nyumbani na khaswakhaswa swalah ya Maghrib, ´Ishaa na swalah ya ijumaa?

Jibu: Bora ni kuswali nyumbani. Bora ni yeye kuswali nyumbani kwake:

“Msiwazuie wajakazi wa Allaah na misikiti ya Allaah. Nyumba zao ni bora kwao.”[1]

Haya yamesemwa al-Madiynah kuhusu Mtume wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

[1] al-Bukhaariy (900) na Muslim (442).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2018