Swali: Ni ipi hukumu ya kula na kunywa kwa kusimama?

Jibu: Inafaa kufanya hivo ingawa bora ni kufanya hivo kwa kuketi chini.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 16/04/2021