Swali: Vipi kuhusu kusema (صدق الله العظيم) baada ya kumaliza kisomo?

Jibu: Halina msingi. Bora ni kuacha kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28740/حكم-صدق-الله-العظيم-بعد-التلاوة
  • Imechapishwa: 24/04/2025

Turn on/off menu