Bora ni kuswali kwenye mkeka au ardhini?

Swali: Je, ni bora kuswali ardhini au kwenye mikeka?

Jibu: Msingi ni kuswali ardhini. Ndio bora zaidi. Ardhi ndio bora. Lakini watu waliponeemeshwa na hali zao zikabadilika ndipo wakahitaji mikeka ili isiwe hoja ya kuacha kuswali katika mkusanyiko.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24696/هل-الصلاة-على-الارض-افضل-من-الفرش
  • Imechapishwa: 28/11/2024