Swali 658: Je, ni sawa mtu akiwa peke yake chumbani mwake kuwa uchi?

Jibu: Lililo bora zaidi ni kujisitiri, hata kama hakuna mtu. Ama kwa upande wa kuoga, hilo ni mahali pa dharurah.

659 – Nilimuuliza kuhusu kutumia dalili Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) inayosema:

”Muusa alikuwa anaoga peke yake.”?

Jibu: Shari´ah ya waliokuwa kabla yetu ni Shari´ah kwetu. Isitoshe hii ni amri ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 240
  • Imechapishwa: 21/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´