Swali 608: Je, bora ni kuepuka kula kenge?

Jibu: Hapana, sio bora kumuepuka. Akamwambia muulizaji ”Kula!”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 215
  • Imechapishwa: 12/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´