- Tarjama: Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Nasaha kwa mwenye kupenda kusema sana
Swali: Muulizaji huyu anaomba nasaha ya kuacha kusema sana. Jibu: Ina maana anasema sana? Dawa yake ni kumdhukuru Allaah sana (´Azza wa Jall) na aache kusema sana na kuropokwa maneno yasiyokuwa na faida au yana shari. Achunge ulimi wake. Ulimi wako unaumiliki wewe na unaweza kuuchunga. Asiyeweza kuchunga ulimi wake…
In "Du´aa na Adhkaar"
54. Nasaha za al-Khattwaab al-Makhzuumiy al-Qurashiy kwa mwanae V
1 – Ee mwanangu kipenzi! Hakika mwanamke ndiye utulivu wa mume. Hawezi kuishi pamoja naye kama wanatofautiana. Ukiwa na nia ya kumuoa mwanamke basi ulizia familia yake. Kwani mizizi mizuri huzalisha matunda mazuri. 2 – Tambua kuwa wanawake wako tofauti. Waepuke wanawake wenye maudhi. Wako wanawake ambao wanajiona na wanawadharau…
In "Kwenye bustani la wenye busara"
Nasaha kwa mwanamke mchaji asiyemtii mume wake
Swali: Mke wangu anaswali Nawaafil nyingi za swawm, swalah na kusoma Qur-aan. Lakini hata hivyo hajihimizi kumtii mume wake na khaswa upande wa kitandani. Naomba umnasihi. Jibu: Ninamnasihi mke wake kumtii mume wake kwa kuwa ni katika kumtii Allaah. Atekeleze haki zake na asimuasi katika wema. Atekeleze maombi yake kwa kuwa…
In "Nasaha kwa mke"