Bima ni kula mali za watu kwa batili

Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka bima ya gari?

Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba bima imekatazwa kwa gari na mengineyo. Ni jambo halikubaliki Kishari´ah. Kwa sababu ni katika aina ya kula mali za watu kwa batili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 15/09/2018