Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusema:
“Lau Mtume wetu Aadam asingekula kwenye mti basi tungelikuwa Peponi.”
Je, katika maneno haya kuna dhambi?
Jibu: Hili halijuzu. Kusema hivi ni kumsema vibaya Aadam (´alayhis-Salaam). Aadam alitubu kwa Allaah na akamsamehe. Haijuzu kusema hivi.
Ndugu! Iangalie nafsi yako. Hutoingia Peponi bila ya matendo. Huingii Peponi isipokuwa kwa matendo yako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
- Imechapishwa: 24/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)