- Tarjama: Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Kusoma as-Sajdah katika Rak´ah mbili za Fajr ya siku ya ijumaa
Swali: Je, mtu aigawanye as-Sajdah katika swalah ya Fajr kati ya Rak´ah mbili? Jibu: Hapana. Sunnah ni yeye asome as-Sajdah katika Rak´ah ya kwanza na al-Insaan katika Rak´ah ya pili. Hii ndio Sunnah. Swali: Je, mtu anaweza kusema kuwa ni Bid´ah? Jibu: Hapana, ameenda kinyume na Sunnah. Si lazima iwe…
In "Mkusanyiko (Jamaa´ah)"
Halua kwa watoto siku ya ijumaa
Swali: Muulizaji huyu ni kutoka Uingereza anauliza kama inafaa kuwagawia watoto halua siku ya ijumaa ili kuwalea [na kuwazoweza] juu ya kwamba ni sikukuu ya waislamu na khaswa ukizingatia ya kwamba tuko katika nchi ya Ulaya? Jibu: Hii ni Bid´ah. Hii ni Bid´ah. Wafunzeni ya kwamba waislamu katika siku hii wanaswali…
In "Swalah ya ijumaa na mengineyo yanayohusiana na ijumaa"
ar-Raajihiy kuhusu kupongezana siku ya ijumaa
Swali: Vipi kuhusu kauli “Jum´ah mubaarakah”? Jibu: Neno hili “Jum´ah mubaarakah” halina asli. Kupeana hongera kwa ajili ya Ijumaa ni jambo lisilokuwa na asli. Kupeana hongera inakuwa siku ya ´Iyd-ul-Fitwr na ´Iyd-ul-Adhwhaa. Ama kuhusu siku ya Ijumaa hapana. Vilevile kuhusiana na mwanzoni wa kuingia mwaka mpya [wa Kiislamu] ni jambo…
In "Kupeana hongera kwa ajili ya idi"