22Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika mavuno yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. 23 Nawe utakula mbele za Bwana, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wako, daima.
- Marejeo: Torati 14:22 https://www.bible.com/sw/bible/1818/DEU.14.SUV
- Imechapishwa: 02/02/2020
22Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika mavuno yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. 23 Nawe utakula mbele za Bwana, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wako, daima.
Marejeo: Torati 14:22 https://www.bible.com/sw/bible/1818/DEU.14.SUV
Imechapishwa: 02/02/2020
https://firqatunnajia.com/biblia-inahimiza-kutoa-zakaah-kama-wafanyavo-waislamu-hii-leo/