Swali: Kumetokea tofauti kuhusu biashara ya mirungi juu ya kufaa na kutokufaa. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Kinachozingatiwa sio tofauti; kinachozingatiwa ni dalili. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuuza vitu vichafu na vyenye kudhuru. Yote mawili yanapatikana kwenye mirungi; ni yenye kudhuru na vitu vichafu, vyenye kupoza na kulevya. Umm Salamah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kila chenye kulevya na kupoza.”
Kwa ajili hiyo wanaketi na kutafuna kwa muda mrefu na zinawapita mpaka swalah. Wanapitwa na swalah huku wako wanatafuna. Ni chafu na haijuzu. Mirungi ni mbaya zaidi kuliko sigara. Aidha haijalishi kitu ambaye ameonelea kinyume ambao wanapanda mirungi au mwanafunzi wenye kuhalalisha. Hawazingatiwi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
- Imechapishwa: 18/04/2021
Swali: Kumetokea tofauti kuhusu biashara ya mirungi juu ya kufaa na kutokufaa. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Kinachozingatiwa sio tofauti; kinachozingatiwa ni dalili. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuuza vitu vichafu na vyenye kudhuru. Yote mawili yanapatikana kwenye mirungi; ni yenye kudhuru na vitu vichafu, vyenye kupoza na kulevya. Umm Salamah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kila chenye kulevya na kupoza.”
Kwa ajili hiyo wanaketi na kutafuna kwa muda mrefu na zinawapita mpaka swalah. Wanapitwa na swalah huku wako wanatafuna. Ni chafu na haijuzu. Mirungi ni mbaya zaidi kuliko sigara. Aidha haijalishi kitu ambaye ameonelea kinyume ambao wanapanda mirungi au mwanafunzi wenye kuhalalisha. Hawazingatiwi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
Imechapishwa: 18/04/2021
https://firqatunnajia.com/biashara-ya-mirungi-na-dawa-za-kupoza/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)