Swali: Ni ipi hukumu ya kujichumia riziki kwa kuuza misahafu ya Qur-aan na kanda za Qur-aan?
Jibu: Kanda ni sawa. Kwa sababu kazi yake huuzikana. Inahusiana na kanda na tafsiri za Qur-aan. Haina maana kwamba mtu anauza ile Qur-aan. Kadhalika misahafu [inafaa]. Ikiwa anakusudia kule kuzichapisha ni sawa. Wanachuoni tokea hapo kale walikuwa wakiruhusu kuuza misahafu.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
- Imechapishwa: 05/10/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kujichumia riziki kwa kuuza misahafu ya Qur-aan na kanda za Qur-aan?
Jibu: Kanda ni sawa. Kwa sababu kazi yake huuzikana. Inahusiana na kanda na tafsiri za Qur-aan. Haina maana kwamba mtu anauza ile Qur-aan. Kadhalika misahafu [inafaa]. Ikiwa anakusudia kule kuzichapisha ni sawa. Wanachuoni tokea hapo kale walikuwa wakiruhusu kuuza misahafu.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
Imechapishwa: 05/10/2018
https://firqatunnajia.com/biashara-ya-kuuza-qur-aan-na-kanda-za-mawaidha/