734- Ahmad ametuhadithia: Jariyr ametuhadithia, kutoka kwa Mansuur, kutoka kwa Ibraahiym ambaye amesema:
“Muhrim akianza kuvuja damu au akavunjika mguu, basi atunzwe kwa bendeji au plasta.”
Mansuur amesema:
“Halazimiki kutoa kafara.”
744- Ahmad ametuhadithia: Yahyaa bin Zakariyyaa ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdul-Malik, kutoka kwa ´Atwaa´ ambaye amesema:
“Muhrim kichwa chake kikipasuka, basi afungwe bendeji.”
- Muhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 157-158
- Imechapishwa: 26/03/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket