Swali: Baadhi ya waadhini wanasema:

بِسْمِ اللّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

“Kwa jina la Allaah, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.”

kwa sauti ya juu kabla ya adhaana. Je, ni katika Sunnah?

Jibu: Hapana. Haitakiwi kabla ya adhaana kusema chochote ili watu wasidhanie kuwa ni katika adhaana. Haitakiwi kabla ya adhaana kusema chochote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020