Swali: Nikiwa ni msafiri na ukaingia wakati wa swalah ya alfajiri. Dereva wa basi akakataa kusimama ili tuswali swalah ya Fajr mpaka pale atapopata kituo cha kutia mafuta ambapo nikachelea kuisha kwa muda wa swalah. Je, inafaa kwangu kuswali ndani ya basi na mimi nimeketi?
Jibu: Ndio. Swali kwa kuketi. Swali kwa kadri na hali yako ijapo kwa kuashiria.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
Swali: Nikiwa ni msafiri na ukaingia wakati wa swalah ya alfajiri. Dereva wa basi akakataa kusimama ili tuswali swalah ya Fajr mpaka pale atapopata kituo cha kutia mafuta ambapo nikachelea kuisha kwa muda wa swalah. Je, inafaa kwangu kuswali ndani ya basi na mimi nimeketi?
Jibu: Ndio. Swali kwa kuketi. Swali kwa kadri na hali yako ijapo kwa kuashiria.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
https://firqatunnajia.com/basi-halisimami-kwa-ajili-ya-fajr/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)