Swali 230: Je, kuwepo kwa viyoyozi katika zama hizi kunahitaji kuharakisha swalah ya Dhuhr na kutoichelewesha hadi joto lipungue?

Jibu: Hapana, kwa sababu barabara bado ni za moto.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 93
  • Imechapishwa: 03/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´