Swali: Mimi nafundisha kama mwalimu katika masomo ambayo kuna mchanganyiko. Miongoni mwa silebasi zao kuna historia kuhusu waimbaji wanawake na wengineo. Baba yangu ananitishia kwamba hayuko radhi nami iwapo nitaacha kazi hii katika masomo hii kutokana na uhaba wa makazi. Unaninasihi nini juu ya hili?

Jibu: Nasaha zangu:

“Haifai kumtii kiumbe katika kumuasi Muumba.”

Haijalishi kitu hata kama ni baba yako. Usimtii katika dhambi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (92) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D8%A6%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-29-07-1439%D9%87%D9%80%200010.mp3
  • Imechapishwa: 21/07/2018