Swali: Je, ni lazima kwa mtoto kumhudumia baba, ikiwa sio fakiri, pale anapoomba jambo hilo?
Jibu: Ikiwa baba ameomba matumizi na anakasirika asipokubaliwa, amhudumie. Aepuke ghadabu zake. Huku ni katika kuwafanyia wema wazazi wawili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 14/06/2024
Swali: Je, ni lazima kwa mtoto kumhudumia baba, ikiwa sio fakiri, pale anapoomba jambo hilo?
Jibu: Ikiwa baba ameomba matumizi na anakasirika asipokubaliwa, amhudumie. Aepuke ghadabu zake. Huku ni katika kuwafanyia wema wazazi wawili.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
Imechapishwa: 14/06/2024
https://firqatunnajia.com/baba-anaomba-matumizi/