Swali: Kuna mwanaume amenichumbia. Ana mawasiliano na baba yangu ambaye yuko katika nchi nyingine. Baba yangu akatoa kuafiki kwake kwa njia ya simu. Inajuzu kwetu kuoana kwa njia hii ikiwa kutakuwepo mashahidi wawili?
Jibu: Hapana. Ni lazima walii ahudhurie wakati wa ndoa, mashahidi wawili ni lazima wahudhurie wakati wa ndoa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 13/02/2017
Swali: Kuna mwanaume amenichumbia. Ana mawasiliano na baba yangu ambaye yuko katika nchi nyingine. Baba yangu akatoa kuafiki kwake kwa njia ya simu. Inajuzu kwetu kuoana kwa njia hii ikiwa kutakuwepo mashahidi wawili?
Jibu: Hapana. Ni lazima walii ahudhurie wakati wa ndoa, mashahidi wawili ni lazima wahudhurie wakati wa ndoa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 13/02/2017
https://firqatunnajia.com/baba-anamuozesha-binti-yake-kwa-simu/