Baadhi ya vitabu vinavyowakilisha manhaj ya Salaf

Kijana wa Kiislamu anapaswa kutahadhari nao na asome mfumo sahihi wenye kuwakilishwa katika kitabu:

1- “ash-Shariy´ah” cha al-Aajjurriy.

2- “as-Sunnah” cha al-Khallaal.

3- “Sharh Usuwl-il-I´tiqaad Ahl-us-Sunnah” cha al-Laalakaaiy.

4- “al-Ibaanah” cha Ibn Battwah

5- Na vinginevyo.

Vitabu hivi ndivyo vinavyowakilisha Manhaj ya Salaf na sio vitabu vya Sayyid Qutwub, vitabu vya upotevu, vitabu vya watu wa Bid´ah, vitabu vya Rawaafidhw na vitabu vya Khawaarij.

Check Also

Darsa na al-Fawzaan au kazi?

Swali: Mimi ni mara yangu ya kwanza ninakaa katika darsa hizi zilizobarikiwa. Kwa kweli nataka …