Swali: Msikiti wa kijiji chetu, baada ya kuswali humo kwa muda fulani, tuligundua baadaye kuwa umeelekea kinyume kidogo na Qiblah. Je, ni lazima turudie swalah zilizopita?
Jibu: Hamna wajibu wa kurudia. Mkengeuko mdogo unasamehewa, na si lazima kurudia swalah. Ikiwa mlibaini kuwa mkengeuko ni mdogo, basi ni vizuri kwa tahadhari kuurekebisha. Lakini ikiwa mkengeuko ni mkubwa, basi ni lazima kuurekebisha na hilo ni jambo haliwezi kujificha. Ama mkengeuko mdogo ndio unaoweza kufichika, nao unasamehewa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/215)
- Imechapishwa: 26/02/2026
Swali: Msikiti wa kijiji chetu, baada ya kuswali humo kwa muda fulani, tuligundua baadaye kuwa umeelekea kinyume kidogo na Qiblah. Je, ni lazima turudie swalah zilizopita?
Jibu: Hamna wajibu wa kurudia. Mkengeuko mdogo unasamehewa, na si lazima kurudia swalah. Ikiwa mlibaini kuwa mkengeuko ni mdogo, basi ni vizuri kwa tahadhari kuurekebisha. Lakini ikiwa mkengeuko ni mkubwa, basi ni lazima kuurekebisha na hilo ni jambo haliwezi kujificha. Ama mkengeuko mdogo ndio unaoweza kufichika, nao unasamehewa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/215)
Imechapishwa: 26/02/2026
https://firqatunnajia.com/baada-ya-miaka-kadhaa-wamegundua-kuwa-msikiti-haukuwa-ukielekea-qiblah/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket