Swali: Nikimnunua mnyama wa Udhhiyah aliyesalimika na kasoro kisha baadaye kwa bahati mbaya nikamvunja pembe yake au nikakata sikio lake bila ya kufanya uzembe. Je, mnyama huyo anasihi?
Jbu: Udhahiri ni kwamba amesha ainishwa na anasihi – Allaah akitaka.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/6275/ما-حكم-العيب-الطارى-بعد-شراء-الاضحية
- Imechapishwa: 06/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)