Swali: Je, Suurah ”az-Zalzalah” ina athari juu ya ujauzito wa mgonjwa aliyeathiriwa na mashaytwaan kupitia uchawi au husuda? Mwanamke anasema kuwa mmoja wa wasomaji amesema kuwa akisomewe Suurah hiyo basi huathiri mimba yake.

Jibu: Hapana, hili halina msingi. Ni mambo ya ukhurafi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28813/هل-صح-ان-لسورة-الزلزلة-اثرا-على-الحمل
  • Imechapishwa: 25/04/2025