634 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mwanamke aliyeweka nadhiri kwamba akimponya Allaah baba yake atafanya kadhaa na kadhaa, kisha baba yake akapona, halafu akaugua tena ugonjwa huohuo na ukawa ndio sababu ya kufa kwake. Je, atimize nadhiri yake?
Jibu: Hapana, kwa kuwa sharti lake halikutimia.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 224
- Imechapishwa: 17/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
634 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mwanamke aliyeweka nadhiri kwamba akimponya Allaah baba yake atafanya kadhaa na kadhaa, kisha baba yake akapona, halafu akaugua tena ugonjwa huohuo na ukawa ndio sababu ya kufa kwake. Je, atimize nadhiri yake?
Jibu: Hapana, kwa kuwa sharti lake halikutimia.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 224
Imechapishwa: 17/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/atekeleze-nadhiri-ya-mgonjwa-wake-ambaye-amepona-kisha-akaugua-tena/