Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Muqriy ametuhadithia: ´Ubaydullaah al-Faradhiy ametuhadithia: al-Qaadhwiy Ahmad bin Kaamil ametuhadithia: Muhammad bin Jariyr at-Twabariy ametuhadithia: Abu Ismaa´iyl at-Tirmidhiy amenihadithia: Nimemsikia Abu ´Abdillaah Ahmad bin Hanbal akisema:
“Lafdhwiyyah ni Jahmiyyah. Allaah anasema:
وَإِنْ أَحَدٌ مِّنَ الْمُشْرِكِينَ اسْتَجَارَكَ فَأَجِرْهُ حَتَّىٰ يَسْمَعَ كَلَامَ اللَّـهِ
“Ikiwa mmoja wa washirikina akikuomba umlinde, basi mlinde mpaka ayasikie maneno ya Allaah.” (09:06)
Atayasikia kutoka kwa nani?”
- Mhusika: Imaam Abuul-Husayn Muhammad bin Abiy Ya´laa al-Hanbaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Twabaqaat-ul-Hanaabilah (2/262)
- Imechapishwa: 11/06/2017
Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Muqriy ametuhadithia: ´Ubaydullaah al-Faradhiy ametuhadithia: al-Qaadhwiy Ahmad bin Kaamil ametuhadithia: Muhammad bin Jariyr at-Twabariy ametuhadithia: Abu Ismaa´iyl at-Tirmidhiy amenihadithia: Nimemsikia Abu ´Abdillaah Ahmad bin Hanbal akisema:
“Lafdhwiyyah ni Jahmiyyah. Allaah anasema:
وَإِنْ أَحَدٌ مِّنَ الْمُشْرِكِينَ اسْتَجَارَكَ فَأَجِرْهُ حَتَّىٰ يَسْمَعَ كَلَامَ اللَّـهِ
“Ikiwa mmoja wa washirikina akikuomba umlinde, basi mlinde mpaka ayasikie maneno ya Allaah.” (09:06)
Atayasikia kutoka kwa nani?”
Mhusika: Imaam Abuul-Husayn Muhammad bin Abiy Ya´laa al-Hanbaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Twabaqaat-ul-Hanaabilah (2/262)
Imechapishwa: 11/06/2017
https://firqatunnajia.com/atayasikia-kutoka-kwa-nani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)