Swali: Ni upi msingi juu ya nyama; ni uhalali au uharamu?
Jibu: Msingi ni uharamu. Vichinjwa msingi ni uharamu. Lakini vinavyochinjwa katika miji ya waislamu, msingi ni uhalali. Vinavyochinjwa na kuuzwa katika masoko ya waislamu, msingi ni uhalali mpaka pale utapojua kuwa ni haramu au imechinjwa kwa njia isiyokuwa ya Kishari´ah. Vinginevyo msingi juu ya vinavyochinjwa katika miji ya waislamu ni uhalali na wewe huna juu yako kitu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13585
- Imechapishwa: 16/11/2014
Swali: Ni upi msingi juu ya nyama; ni uhalali au uharamu?
Jibu: Msingi ni uharamu. Vichinjwa msingi ni uharamu. Lakini vinavyochinjwa katika miji ya waislamu, msingi ni uhalali. Vinavyochinjwa na kuuzwa katika masoko ya waislamu, msingi ni uhalali mpaka pale utapojua kuwa ni haramu au imechinjwa kwa njia isiyokuwa ya Kishari´ah. Vinginevyo msingi juu ya vinavyochinjwa katika miji ya waislamu ni uhalali na wewe huna juu yako kitu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13585
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/asli-ya-vichinjwa-katika-miji-ya-waislamu-ni-halali/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)