Asiyeitikia mwaliko amemuasi Allaah na Mtume Wake

Swali: Mwenye kusema kuwa mwaliko ukiwa wa harusi ni lazima kuitikia na ikiwa sio wa harusi inapendeza tu?

Jibu: Hakuna dalili. Hadiyth imeshatangulia:

“Ambaye hakuitikia mwaliko amemuasi Allaah na Mtume Wake.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23865/هل-يختص-وجوب-اجابة-الدعوة-بالعرس-فقط
  • Imechapishwa: 23/05/2024