Asiye na wudhuu´ kushika jalada la msahafu

112 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu asiye na wudhuu´ kushika jalada lililoambatanishwa na msahafu?

Jibu: Asiushike, kwa kuwa kilichoambatanishwa kina hukumu ya msahafu.

Swali 113: Je, inaruhusiwa kushika jalada la msahafu?

Jibu: Ngozi iliyoambatanishwa ni sehemu ya kurasa za msahafu, lakini ikiwa imetenganishwa basi inaruhusiwa kuigusa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 62
  • Imechapishwa: 17/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´