Swali: Umesema kuwa asilimia ya vijana wanaovuta sigara ni 20%. Leo nimesoma katika gazeti moja wapo ya kwamba ni asilimia 70%.

Jibu: Ulinzi unaombwa kutoka kwa Allaah. Khabari za gazeti hili sio sahihi. Sikubaliani nazo. Pengine wanamaanisha baadhi ya sehemu. Hilo linawezekana.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (38) http://binothaimeen.net/content/876
  • Imechapishwa: 10/08/2018