396 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu Hadiyth ya Abu Hurayrah ambaye ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yeyote ambaye atakuwa na uwezo na asichinje Udhhiyah, basi asikurubie uwanja wetu wa kuswalia.”?
Jibu: Sahihi ni kwamba ni maneno ya Swahabah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 135
- Imechapishwa: 17/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
396 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu Hadiyth ya Abu Hurayrah ambaye ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yeyote ambaye atakuwa na uwezo na asichinje Udhhiyah, basi asikurubie uwanja wetu wa kuswalia.”?
Jibu: Sahihi ni kwamba ni maneno ya Swahabah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 135
Imechapishwa: 17/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/asije-kuswali-ambaye-hakuchinja-udhhiyah/