Swali: Je, ni sahihi yale yanayonukuliwa katika baadhi ya tovuti kwamba Ashaa´irah ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?
Jibu: Si sahihi. Ashaa´irah ni pote moja wapo katika Ahl-ul-Bid´ah. Lakini mtu anaweza kusema kuwa ni Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah katika yale waliyoafikiana na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kama zile sifa saba walizothibitisha. Vinginevyo sio katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Wao ni Ashaa´irah vivo hivyo. Lakini hata hivyo ndio pote lililo karibu na Ahl-us-Sunnah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (02)
- Imechapishwa: 30/04/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket