ash-Shawkaaniy ni mwanachuoni wa Ahl-us-Sunnah

Swali: Ni kwa nini Zaydiyyah wanajifakhari kwa Imaam ash-Shawkaaniy (Rahimahu Allaah) na kujinasibisha kwamba ni miongoni mwa wanazuoni wao?

Jibu: Sio katika wanazuoni wao. Ni miongoni mwa wanazuoni wa Ahl-us-Sunnah na wanazuoni wa Hadiyth.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
  • Imechapishwa: 07/03/2025