Swali: Ni ipi hukumu ya kuitwa kwa jina la ´Abdun-Nuur?
Jibu: Udhahiri ni kwamba hakuna ubaya. Nuru ni miongoni mwa majina ya Allaah. Hayo yametajwa na ´Allaamah Ibn-ul-Qayyim na wengineo. Allaah (Ta´ala) amesema:
اللَّـهُ نُورُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ
“Allaah ni Nuru ya mbingu na ardhi.” (24:35)
Nuru ni katika majina ya Allaah na ni miongoni mwa sifa Zake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (20)
- Imechapishwa: 20/06/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)