Anza upande wa kulia wa mdomo

Swali 135: Je, haijapokewa katika baadhi ya njia za Hadiyth ya ´Aaishah:

“Ilikuwa inampendeza kuanza kwa upande wa kulia katika kuvaa viatu vyake na katika kutengeneza nywele zake…”

Vipi kuhusu ziada inayosema:

”… na katika Siwaak  yake.”?

Jibu: Maana yake ni upande wa kulia wa mdomo, sehemu ya kulia ya mdomo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 65
  • Imechapishwa: 26/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´