Swali 246: Mtu aliyemkuta imamu akiwa katika kikao cha Tashahhud ya kwanza – Je, akisimama ainue mikono yake?

Jibu: Ndio, afanye kama imamu. Amfuate.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 95
  • Imechapishwa: 09/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´