Swali: Je, haipelekei kwamba anayetufu anakuwa mshirikina?
Jibu: Ikiwa anakusudia kujikurubisha kwa Allaah, basi hiyo ni Bid´ah. Lakini wengi wa hawa wanaotufu wanajikurubisha kwa makaburi. Hiyo ndio hali yao mara nyingi. Lakini kama akitufu na kusema kwamba anajikurubisha kwa Allaah, basi hiyo ni Bid´ah na ni njia inayopelekea katika shirki kwa yule aliyezikwa ndani ya kaburi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31103/ما-حكم-من-يطوف-بالقبور
- Imechapishwa: 02/10/2025
Swali: Je, haipelekei kwamba anayetufu anakuwa mshirikina?
Jibu: Ikiwa anakusudia kujikurubisha kwa Allaah, basi hiyo ni Bid´ah. Lakini wengi wa hawa wanaotufu wanajikurubisha kwa makaburi. Hiyo ndio hali yao mara nyingi. Lakini kama akitufu na kusema kwamba anajikurubisha kwa Allaah, basi hiyo ni Bid´ah na ni njia inayopelekea katika shirki kwa yule aliyezikwa ndani ya kaburi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31103/ما-حكم-من-يطوف-بالقبور
Imechapishwa: 02/10/2025
https://firqatunnajia.com/anayetufu-kwenye-kaburi-ni-mshirikina/