Swali: Je, zawadi inatolewa zawadi kumpa mwingine na kuuzwa?

Jibu: Ndio.

Swali: Wako wanaosema kuwa haitolewi zawadi na wala hauzwi?

Jibu: Hapana, hayo ni maneno ya mjinga.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25383/هل-الهدية-تهدى-وتباع
  • Imechapishwa: 08/03/2025